Wanajamvi aina ya simu tajwa inaitajika katika mazingira ya spare. Shida injini yake kwani iliyopo laini haisomi mtandao ivo kama kuna mtu anayo iliyomsumbua chochote mbali na injini akaamua kuiweka pembeni aje pm tufanye biashara.
mkuu written yao haina shida kama upo vizuri ktk ngeri na wenyewe hawapimagi professional bali ni earing capacity, vocabulary, english structure na understanding capacity yako kwa kupewa comprehession then hujibu maswali chini yake then panakua hakuna mtu anaewaangalia ata kidogo ni kamera zao...
Kwa taarifa nilyonayo leo ndio ilikua interview ya mwisho kwani kuna kazi zingne waliitwa wachache na walifanyia pale pale HQ POSTA, Leo ilikua written nasikia. Pia utt huwa wanaitaga watu kutokana na uitaji wao nikimaanisha ata km wameshafanikiwa kupata waliokua wakiwataka kwa wakat huu...
Vp interview ilikuaje kwa mliofika? Na waliokua wakibisha sasa naona watakua wamepata uhakika. Kila la kheri mlifika na kujarbu bahati zenu kwa maana nimesikia waliita watu wengi sana, watainiwa wameingia ktk vyumba 10 ingawa sijui vyumba ivo vilikua na ukubwa gani?
Mkuu tu wengi lakini tunatofauti, binafsi siwezi danganya adhara kwani sinafaida yoyote ikiwa wameita au hawajaita zaidi nami nimuanga wa ajira na niliomba pia. Nimepgiwa simu kwa 0222136974, wakaniambia usaili utafanyika ukumbi wa UCC Udsm kuanzia saa 2 kamili ya tar 14 means jumamosi ya kesho...
Mkuu hilo linawezekana likafanyika kwa ivo ikiwa watafuta kazi ni wengi? Minimeona acha niaje ivo kwa kushindwa kwangu ambayo inaweza ikawaongezea nafasi ya kupata kaz kwa watakao fika.
Wana JF, polen kwa majukumu, mwenzenu nilipigiwa simu jana saa 12 jion yaan saa 1 kasoro hivi ya kunitaka kufika katika interview ila bahati mbaya iliyoje nimekwama nauli kwani nipo mbali sana Kagera na nimekuja kumsalimia ndugu yangu najuta hata sijui kwanini nilikuja huku ila ni mipango ya...
Sijui watakua wanawapataje wanao wahitaji kwa maana tatizo si la jana au leo binafsi nimeanza kuliona toka tarehe 18 ya mwezi huu kuna nafasi walitangaza pia na mwisho ikawa tarehe 22 alhamisi nimekua nikiangaika kutuma bila mafanikio mpk deadline imepita na nafasi ikafungwa. My take, wenda...
Wanajamii...! Naomba msaada kwa hili, benki ya posta wametangaza nafasi ya kazi ila kila nikituma kwa anuani yao waliotoa kua maombi yote ndio yapitie hapo mail yangu haipokelewi kabsa. Sasa sijui km tatzo ili ni kwangu tu au na kwa wengne na km tatzo hili ni kwa wote je yupo mtu anaeweza jua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.