Recent content by Mitishamba Imani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi dawa za mvuto na uchawi wa ulivoivuruga familia yangu

    Mkuu huu sio mwisho wa simulizi yangu. Mengi bado yaliendelea na mpaka leo yapo mengi tu,sijaeleza kila kitu hapo. Hakuna sehemu nilipoonyesha kufurahia jambo hili pia.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi dawa za mvuto na uchawi wa ulivoivuruga familia yangu

    Hii ni simulizi fupi ya kweli ya mahusiano yangu na ndoa yangu,naomba wengi tujifunze na kushauri pia. Mimi ni baba wa watoto watatu naishi na familia yangu kwa miaka kumi sasa,katika maisha yetu na mke wangu tumeishi vizuri sana kwa maelewano mazuri,toka tuanze maisha chumba kimoja tumekuwa...
Back
Top Bottom