Recent content by Miti7

  1. Miti7

    Wanaume tunzeni akiba ya kustaafu, hao watu tunaosotea sio wenzetu

    Hilo suala la kufanya maandalizi ya uzee wako ni sehemu mojawapo mhimu katika kujipenda au kujiweka wewe kwanza kabla ya mtu mwingine yoyote no matter who he or she is
  2. Miti7

    Hakuna nchi yoyote ile duniani, iliyojengwa kwa sala na maombi. If prayers really work, Africa would be the richest continent in the world

    North Korea kuwa hakuna ukristo haina maana wenyeji hawana namna nyingine ya kusali Kwanza kusali ni nini hasa unajua?
  3. Miti7

    Hakuna nchi yoyote ile duniani, iliyojengwa kwa sala na maombi. If prayers really work, Africa would be the richest continent in the world

    Vatican imeendelea na inazidi kuendelea kwa sala tu na maombi Wewe ni mtoto tena nilikuwa nakutafuta sana
  4. Miti7

    Hakuna nchi yoyote ile duniani, iliyojengwa kwa sala na maombi. If prayers really work, Africa would be the richest continent in the world

    Maendeleo siyo vitu pekee. Kuna maendeleo nje ya pesa na mali za kidunia. Vitu kama AMANI, UTULIVU, KURIDHIKA, KUSAIDIA, KUTUMAINI, KUPENDANA, KUJIPENDA, KUJALIANA NA KUHURUMIANA ni maendeleo pia.
  5. Miti7

    Bongo tuna matapeli wengi kwenye issue za technology; hii inatufanya kuja na solution chache mno

    Mkuu hiyo ni kazi rahisi sana, it is seriously simple, mtoto wa darasa la tano anayejua kiingereza anaweza kufanya kazi hii nikimwelekeza Kwa bahati mbaya mimi natakiwa kupumzika sasa kama wiki 2 hivi sitakuwa online ningekusaidia hatua kwa hatua.
  6. Miti7

    Bongo tuna matapeli wengi kwenye issue za technology; hii inatufanya kuja na solution chache mno

    Mpaka leo mtu bado anaamini WordPress ni kwa ajili ya blogs tu kweli???
  7. Miti7

    Bongo tuna matapeli wengi kwenye issue za technology; hii inatufanya kuja na solution chache mno

    Pia kuna dhana watu wanayo kwamba kadri bidhaa inavyokua na gharama ndivyo inavyokua bora kitu ambacho siyo mara zote ni kweli
  8. Miti7

    Bongo tuna matapeli wengi kwenye issue za technology; hii inatufanya kuja na solution chache mno

    Nilimwambia mimi mapema tu kuwa siku hizi mambo ni simple kama kumsukuma mlevi na Nafahamu hili zaidi ya miaka 7 au 8 sasa kwamba developers are no longer necessary Ila humu mara kadhaa siyo leo tu watu wanapenda kucomplicate vitu vya kawaida vionekane vikubwa Tuwaache tu waendelee kupigwa...
  9. Miti7

    Bongo tuna matapeli wengi kwenye issue za technology; hii inatufanya kuja na solution chache mno

    System ya nini hasa mkuu Kama ni website zipo ready made templates unachofanya ni customization tu na haigharimu hata 10000 ni muda wako tu Kwa sasa gharama ipo kwenye hosting siyo designing Unaweza kupata free domain, free hosting, free design kwenye WordPress.com
Back
Top Bottom