Recent content by mistiqal

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nauza satellite dish ya euromax(full set) bei chee

    habari wana jamii, nina dish langu la euromax ffuti 6 full set( dish + kinga'muzi lina muda wa wiki moja tu lakini inanilazimu kuliuza kwa sababu nimehamishwa kikazi naenda nchi nyingine, linasteshen kibao zikiwemo local channels itv, star tv, tbc e.t.c ambapo haulipii kwa mwezi ni bureeee...
  2. M

    JamiiForums Tanzania natafuta nyumba ya kununua

    ntakutafuta mkuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania natafuta nyumba ya kununua

    asnte mkuu ntacheki web yao
  4. M

    JamiiForums Tanzania natafuta nyumba ya kununua

    hello, natafuta nyumba ya kununua maeneo ya mwenge,savei, ubungo,kinondoni na tabata, bei ya mtanzania wa kawaida sina mamilioni jamani, budget ni 35-45 m.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mgeni

    habari..am new here
Back
Top Bottom