Recent content by Missindependent92

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Habari za kazi wanajamii mi nina mtaji wa sh milion 3 naomba nilikuwa natamani kuanza safari za kwenda nchini uganda kujumua nguo za kike mwenye idea na biashara hizi naomba muongozo tafadhari
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tunauza Balo za Mtumba Grade A Aina Zote

    Ukinunua unaruhusiwa kufungua mzigo uhakikishe na je kama mzigo sio mzuri mnaweza mbadilishia
Back
Top Bottom