Sasa bwana BIG SHOW si kila mtu atakufa?.
Yuko wapi Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Magufuli?.
Hizi ni struggle ni za Kawaida kwa mwanadamu, Hata Nabii Yusufu si aliwekwa Jela?
Sawa lakini kabla ya ukiristo kuingia huko hiyo mikoa ilikuwa na dini zao za asili. Kama ilikuwa sawa kwa Ukiristo kuingia huko basi itakuwa fair kwa dini nyingine nazo kuingia. Wacha dini zipambane zile zitakazozidiwa nguvu basi zipoteze ushawishi.
Katuga anadhani atamdanganya nani kwa kudai kuwa maneno matupu ni matendo?. Yaani mimi nisimame sokoni niseme kwa sauti kubwa "NITAVURUGA Uchaguzi, nitakinukisha", Bila hata kuwaambia watu kachomeni vituo vya kura, au katekeni msimazi wa uchaguzi, au kazuieni magari ya kusambaza kura halafu...
Wazee wanaopigwa matukio na wake zao huamua kukaa kimya wasiseme upande wao wa stori kwa watoto wao ili kulinda afya ya akili za watoto wao.
Wanawake wana mambo mazito sana ya chini kwa chini.
Hakuna aliyewapa.
Nyerere ndo aliasisi mfumo ambao una loopholes nyingi za kuwa abused ili kupoka power za wananchi kuweka.madarakani serikali au kuwawajibisha.
Aliwaonyesha formular CCM jinsi ya kupoka mamlaka ya wananchi pale alipofumbia na kubariki yaliyotokea katika uchaguzi huko Zenji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.