Tusaidiane wadau katika hili mm nikijana mwenye umri mbichi ingawa nafaa kuitwa baba,nilikuwa na mahusiano na binti mmoja ambaye hatukufikia wala kuwahi kusex nae,akawa ameenda mkoa jirani kimasomo na mm nikabaki rock city kimazomo baaada ya miez nikawa nikimpigia anakata sim yang nikavumilia...