Recent content by Miss kipingu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mzazi ananilazimisha kwenda kidato cha Tano

    Siwez😂najiheshimu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mzazi ananilazimisha kwenda kidato cha Tano

    Asante sana kwa maana nyakati hizi advanced imekuwa ngumu Sanaa nimeenda pre form five nimechoka mapemaaa mambo ni mengi yanaumiza kichwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mzazi ananilazimisha kwenda kidato cha Tano

    Naombeni msaada wa mimi mwenyewe : ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21 nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha nifanyaje sasa ili niweze kwenda college kwasababu nataka nisome mambo ya designing
Back
Top Bottom