Recent content by miss kayumba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa tafadhali

    Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 mwenye hofu na mungu, ni mrefu wa wastani, maji ya kunde na mwajiriwa. nafuta mwanaume age 28-40 mkristu anayependa dini na anaye jua nn maana ya mke na anaye jituma ktk kuleta maendeleo ambaye yko tyr ani pm basi.
Back
Top Bottom