Habari zenu wote natumai mu wazima
Mimi nimuajiriwa ila nahitaji kipato cha ziada mara kwa mara nimekuwa nikijaribu kutengeneza ubuyu lakini umekuwa hautokei kama unavyo paswa sasa nashindwa kujua shida hipo wapi
Mfano leo nimebandika maji yakachemka nikaweka rangi kidogo nikaweka sukari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.