QUOTE="aretasludovick, post: 33822102, member: 315488"]
Hata wakwangu alikuwa akisemaga hivo lakini siku aliponifuma alilia kidogo mwisho akanikubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa hajiwezi kiuchumi sio mie nina elimu yangu na kakipato kangu niishi na mvuta bangi subutu
Nimekutana nayo last weekend aisee we acha tu!
Sirudii tena kumruhusu shem wenu agonge nyagi kabla ya mechi. Yani hakumaliza mapema kabisa.
Nilikuwa nasikiaga tu "sijui nikagongee nyagi" now nimenyoosha mikono!!
Sasa kaka shida inaweza kuwa nini na sikuwa na tatizo hilo ila baada ya kujifungua na kuamua kutumia contraceptives ndio imeanza na nimeshatumia dawa nyingi sana za asili na kizungu but sioni ahueni zaidi ya kuzimaliza but after sometime zinarudi tena!
Nimewaza kuachana na contraceptive kwani...
Naomba kujua kama mwanamke anayekosa hedhi kutokana na matumizi ya dawa za mpango kama pills au kijiti kunaweza kumsababishia mtu huyo kupata chunusi nyingi usoni, kukonda na ngozi ya uzo kuwa na spots yani mabaka mabaka?
Mana nimekuwa mwathirika wa mabaka usoni nimeshatumia kila dawa but sioni...
Kama sikosei mwili wa binaadau unakoma kukua pindi afikishapo miaka 23 yani primary growth.
To be curious naomba kujua na uume hukoma/huacha kukua baada ya umri gani ?
Natambua Jf wanafiki na wadhihaki ni wengi but sitajali leo naruhusu povu
NB,
Jf Doctors naombeni chondechonde msiniangushe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.