Recent content by minyoo

  1. minyoo

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Za katuga ni nyingi kuliko hizo
  2. minyoo

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Account za Wakili muongo Katuga zichunguzwe
  3. minyoo

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Katuga ana pesa nyingi pengine kumzidi hata huyo wambura
  4. minyoo

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Katuga Account yake ina pesa nyingi kupita maelezo, Account zake z ichunguzwe
  5. minyoo

    JamiiForums Tanzania Majaji kwa Woga wenu, Ni kweli Mwaipopo Katumwa, ila Katumwa kuwapa Presha pasipo Mtumaji kujionyesha wazi !! Mtasababisha Mzozo wa Kidini Nchini !!

    Hao majaji wajue mungu anawaona wakifanya uonevu wajue laana za wapenda haki zitawaandama kwa wingi
  6. minyoo

    JamiiForums Tanzania Ninalaani agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaka familia yote ya mzee Mushi ikamatwe

    Hicho ndicho cha msingi zaidi
  7. minyoo

    JamiiForums Tanzania Ninalaani agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaka familia yote ya mzee Mushi ikamatwe

    Ni vyema kuwepo na ufafanuzi wa kiina kwa pande zote
  8. minyoo

    JamiiForums Tanzania Ninalaani agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaka familia yote ya mzee Mushi ikamatwe

    Kosa la msingi ni lipi fafanua kosa kwanza
  9. minyoo

    JamiiForums Tanzania Ninalaani agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaka familia yote ya mzee Mushi ikamatwe

    Paskal hivi kuna sheria huruhusu kuwekwa ndani kienyeji kisa familia kudai haki yao?
  10. minyoo

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kingai kasema hayupo tayari kutoa ushahidi upande wangu.

    Wao ni waoga wanajua Lisu akishinda kesi ni Aibu kwa wakili wa mchongo katuga kingai na wenzao na huenda akawadai fidia kubwa watafanya kila wawezalo Ahukumiwe kifungo kisha akikata rufaa wacheleweshe kesi akae gerezani sana kisha ashinde kesi ya rufaa na kuachiwa huru, hiyo ndiyo mbinu yao kubwa
  11. minyoo

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kingai kasema hayupo tayari kutoa ushahidi upande wangu.

    Wewe ndiyo umechanganyikiwa sasa utengeneze kesi wewe kingai katuga kisha utake kupanga jinsi ya mtu unayemtesa ajitetee? Kwa Akili zako finyu unadhani utapewa uteuzi kweli ?
Back
Top Bottom