Recent content by Minja mdogo

  1. Minja mdogo

    JamiiForums Kampuni ya Tanzanite one yanena

    Tanzanite One inasema leseni ya kuchimba Tanzanite, Graphite na Marble kwenye kitalu cha ukubwa wa 8 sq km ilitolewa Mwaka 2000 kwa kutumia Sheria ya Madini ya Mwaka 1998. Serikali ilipobadilisha Sheria hiyo na kuwa na Sheria ya Madini ya Mwaka 2010, Kifungu cha 116 na Kanuni za Sheria hiyo...
  2. Minja mdogo

    JamiiForums Almasi tulivyoitaifisha ni Mwiba kwa Tanzania

    Mikataba, Makubaliano, Leseni, n.k. za madini za miaka ya nyuma (1998-2010, hata kabla ya Mwaka 1998) inalindwa na Sheria ya Madini ya Mwaka 2010 na hasa Kipengele hicho cha 116. Almasi tuliyotaifisha italeta kesi nyingine kwenye Mahakama ya Kimataifa. PART XI REPEALS AND SAVINGS PROVISIONS...
Back
Top Bottom