Recent content by Minboss

  1. Minboss

    Natafuta soko la Vanilla

    Kilo 50... nipo kibosho kilimanjaro.
  2. Minboss

    Natafuta soko la Vanilla

    Sisi atuwaoni mbn hao wa million 1... wanaokuja ni wa laki wanadidimiza wakulima.... natumaini kutakuwa na sehemu ya kupeleka hao wanaokuja shamba atuwataki... tunatafuta soko wenyew, tumelima kwa vikundi wakichukuwa kwa laki aitunufaishi kwa chochote[emoji119]
  3. Minboss

    Natafuta soko la Vanilla

    Hello, Naomba kwa anaejua biashara ya vanilla, naitaji soko. Naombeni msaada wenu [emoji120] please.
Back
Top Bottom