Recent content by mimimi1022

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je mtu unaweza kujifunza kuendesha pikipiki Kama hujawahi jifunza baiskeli?

    Wakuu Nina miaka 34 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk. Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel? Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel? Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mkuu Mimi nataka kuagiza bidhaa kutoka soko la pinduoduo vipi una uzoefu na soko hilo
Back
Top Bottom