jaman the guy is nt serious at all,kwake yeye anaona ts okay kutoka nje ya ndoa yake lkn sio mkewe,kweli kwa mkuki kwa nguruwe................naungana na bubu,mruhusu pia mkeo then uone nawe utafeel aje atakapokuja kueleza na kuomba msamamah.hv du u thnk its that easy afu unadai eti nambadilisha...