Recent content by mimi45

  1. M

    Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

    Mm nasoma MD, haina inshu kaka. Unless una passion ya kusaidia watu. Unaweza ukipangiwa vijijini kituo cha kazi ulipwe laki 3 kwa mwez. Kama ana plan ya kupiga pesa simshauri asome MD wako weng sana. Apa kampala tupo 600 plus vyuo vingine, plus clinical officers ambao ndo wanaajiriwa sana sababu...
  2. M

    Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

    Vp kuhusu molecular biology and biotechnology pia ya UDSM. Naomba msaada wa ushauri I'm all cooked up bro. Sijuhi niamue nini
  3. M

    Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

    Ni kweli, lakini sasa kupata nafasi ndo changamoto ukizingatia mwaka huu degree ya physiotherapy inatolewa muhas pekee
  4. M

    Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

    Ikikupendeza nisaidie kupata connection Muhas ili niende physiotherapy. Kwasababu mara ya 1 nilitemwa
  5. M

    Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

    Bodi nimepata 420k, Ada 7.7M. Hakuna kilichopungua
  6. M

    Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

    Achana kwanza na mkopo kaka, mhimu nipate chuo kwanza cha bei nafuu. Mkopo kwa mwaka nmepata 420,000 ada 7,700,000. Hakuna kilichopungua.
  7. M

    Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

    Tatizo madogo mwaka huu wamefaulu sana. Nahisi ushindani utakuwa mkubwa kupata nafasi
  8. M

    Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

    Habari zenu wakuu Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 Na kubahatika kupata 1.9 Katika process ya kuomba vyuo, nikaja kupata round ya 3 ambayo ndo ya mwisho kabisa chuo cha kampala, kozi MD. Sasa ndugu zangu, mm kwetu hoehae,uchumi ni mdogo sana kuweza kumudu hizo garama za ada ambayo ni...
  9. M

    Ushauri wa kozi, Bachelor of science in physiotherapy na Doctor of medicine

    Habari zenu wakuu. Naombeni msaada wa ushauri kuhusu kozi hizi mbili, Bachelor of science in physiotherapy na Doctor of medicine (MD) Ipi iko vizuri zaidi. Ni ndoto ya kila form six leaver aliyesoma PCB kusoma MD, lakini kuna daktari mmoja hivi yuko intern kasema hanishauri kusoma MD, unless...
  10. M

    Naweza kuhamia chuo cha Serikali maana chuo ninachosoma sasa kina ada kubwa sana!

    Ada ya kampala kwa MD ni 7.7M kwa mwaka na mkopo (TU) nmepata 420k hakuna walichopunguza
  11. M

    Naweza kuhamia chuo cha Serikali maana chuo ninachosoma sasa kina ada kubwa sana!

    Application kwa hivyo vyuo bado ziko open had sasa?
Back
Top Bottom