Recent content by mimi kipepe

  1. mimi kipepe

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Wacha yote yafanye kazi, cos kujoin ni free will, Usikashe watu tamaaa,
  2. mimi kipepe

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Malta Visa application requirements,Embassy,tourist visitor,work,student visas,Maltese immigration,US travel information
  3. mimi kipepe

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Naomba kukuuliza kwenye ku register Nimeona wanahitaji 29$kwa single applicant and 39 double applicants, Umeiona hii, Km Umeiona umewatumia Kwa Njia gani,, Asante.
  4. mimi kipepe

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Hi nzuri na iko open Tatizo ni kuombwa hela Scammers wengi, unaweza kuliwa Ila asante sana kaka umetupa mwangaza
  5. mimi kipepe

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Hamna ya free registration Scammers wengi kaka, unaweza kuliwa
  6. mimi kipepe

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Kuliza si ujinga Inamana Kwa nchi hizi unahitaji passport tu au nisaidieni jmn
  7. mimi kipepe

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Naomba kujua procedures Za kuingia huko brother Tupatie hizo websites Za Kufanya kz bure Barikiwa.
  8. mimi kipepe

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Brother Tusaidie Hizo website Za Kufanya kazi Kwa kujitolea pls
  9. mimi kipepe

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Tusaidie kaka, Tatizo kubwa Ni fare na pakufikia, Tusaidie Kwa haya
Back
Top Bottom