Recent content by mima09

  1. M

    JamiiForums Tanzania Aliniacha mbele ya wazazi, leo anataka turudiane

    Wazazi walinirudisha lakin hakutaka maelewano nikarudi nyumbani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Aliniacha mbele ya wazazi, leo anataka turudiane

    Ni story ndefu ila soma chin ili unishauri vizur ingawa nimeelezea upande wangu dho namimi ninamapungufu yangu ila sio cheating hata siku moja
  3. M

    JamiiForums Tanzania Aliniacha mbele ya wazazi, leo anataka turudiane

    Namimi natamani angefanya hivo kwasababu wazazi hawana shida ila wanaona kama kawadharau sana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aliniacha mbele ya wazazi, leo anataka turudiane

    Baada yakuniacha niliondoka ila baadae alirudi akaniomba msamaha nikasemehe mimi binafsi ila wazazi hawakujua kama tulirudiana maana hakurudi nyumbani kusema mimi nimemalizana na make wangu na Mimi niliogopa kusema maana aliniahidi lazima nitaenda nyumbani ili tuyaweke mambo sawa isionekane...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Aliniacha mbele ya wazazi, leo anataka turudiane

    Awali niliondoka mwenyewe baada ya kunipiga kisa mchepuko wake wazazi walinirudisha tukaongee tatizo ni nn baadala yake akanikataa mbele ya wazazi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Aliniacha mbele ya wazazi, leo anataka turudiane

    hakutaka Mimi nifanye kazi kisa wivu akaniachisha kazi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Aliniacha mbele ya wazazi, leo anataka turudiane

    Habarini waungwana, Naomba ushauri wenu nifanyaje. Mwanaume aliniacha bila sababu mbele ya wazazi sasa anataka nirudi, ila hataki kuja kwetu kuwaambia wazazi. Sasa sielewi hivi naanzaje kwenda ukizingatia tuna watoto na wote ninao.
Back
Top Bottom