Recent content by MILOBO

  1. M

    Mahakama yakana kuandika Barua kuzuia mjadala wa Tegeta Escrow Account bungeni

    Kuwa pro-active kwa wapinzani kumesaidia taifa kwani hakika wangesubiri kuwa reactive mambo yangeharibika kwani tungeishia kuambiwa kuna zuio la mahakama. Kauli za pinda zinadhihilisha wazi kuwa hili jambo lilikuwepo na alilijua na alitegemea litafanikiwa
  2. M

    Twaweza: Maoni na Matakwa ya Wananchi juu ya Uongozi wa Kisiasa Tanzania kuelekea 2015

    Mimi napingana na na muundo wa utafiti. Kwenye uchaguzi chama kinasimamisha mgombea mmoja mmoja. Kwanini waweke wa watu wengi wa chama kimoja.? Warudie utafiti kwa kuhoji kati ya CCM, UKAWA au VILE VYAMA VISIVYOKUWA NA UWAKILISHI BUNGENI: Utapigia nani kura? Pia sample iwe kubwa na evenly
  3. M

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Udhalimu na ufedhui unaofanywa na chama cha magamba utaaibishwa na matokeo uchaguzi ukirudiwa.mfa maji............
Back
Top Bottom