Recent content by Millionaire Mentor

  1. Millionaire Mentor

    Nimeamua kuwekeza kwenye uchawi na uganga

    Balaaaaaa tupu😀
  2. Millionaire Mentor

    Nauza mafuta ya halisi ya alizeti kwa jumla na reja reja bei nafuu

    Boss Nimekuelwa ,swala la usafi litashughulikiwa . Ila hilo vumbi lilitokana na usafiri tu na barabara ni vumbi sana Huko yalikotoka. Ila shukurani kwa kukumbusha swala zima la usafi
  3. Millionaire Mentor

    Nauza mafuta ya halisi ya alizeti kwa jumla na reja reja bei nafuu

    Mkuu Hilo ni vumbi tu la nje kutokana na usafirishaji, lakin madumu hayo ni mapya kabisa
  4. Millionaire Mentor

    Nauza mafuta ya halisi ya alizeti kwa jumla na reja reja bei nafuu

    Napatikana Dodoma, licha ya kuwa hivi sasa nipo Dar kuna mzigo niliuleta
  5. Millionaire Mentor

    Nauza mafuta ya halisi ya alizeti kwa jumla na reja reja bei nafuu

    Oky, bei ni 20k / lita 5 usafiri ni juu yangu
  6. Millionaire Mentor

    Nauza mafuta ya halisi ya alizeti kwa jumla na reja reja bei nafuu

    Oky, usijari Bei ni 20K /Lita 5 usafiri nagharamia mwenyewe.
  7. Millionaire Mentor

    Nauza mafuta ya halisi ya alizeti kwa jumla na reja reja bei nafuu

    Wana jamii poleni kwa majuku ya kila siku na mihangaiko ya hapa na pale , Ktk harakati za kujikwamua kiuchumia Nimeona ni bora nijikite kwenye shughuli mbalimbali za kiujasiriamali ambapo nimejikita ktk swala zima la Kuuza mafuta halisi ya Alizeti hii inamaanisha kuwa hayana mchanganyiko wa...
Back
Top Bottom