Nimemaliza form four na nimepata 2 katika masomo yote nimepata c kasoro math ndio nimepata f upande wa art lakini
Nilikua naomba msaada wenu kuhus course GAni nzuri ambayo naweza soma upande wa MASWALA ya bandari hata kama ni diploma ipi ni nzuri
Pia huwa Nina interest katika IT napo pia...
Mimi nimemaliza form four nimepata
C masomo yote ya art geo eng keep kswhl civ etc ILa math ndio nimepata f
Na ninapendelea mambo ya IT
NAOMBENI mawazo yenu hapo naweza pata diploma au course GAni nzuri kwa sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.