Recent content by mila

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa keko mwanga

    Nyumba inauzwa Keko Mwanga,karibu na kanisa la keko, kubwa ina vyumba sita,uani ina vyumba viwili,ina frem ya duka, maji na umeme. imezungushiwa ukuta. Bei yake ni T shilings milioni 50 kwa mawasiliano namba ni 0716 181825,0768 922020.
  2. M

    JamiiForums Tanzania camera inauzwa

    yah tunaweza kubargain hamna noma
  3. M

    JamiiForums Tanzania nyumba inauzwa keko mwanga

    nyumba ya vyumba sita,na flame ya biashara inauzwa keko mwanga,ina umeme na maji,karibu na kanisa la kekomwanga.bei maelewano.piga namba 0659 631651
  4. M

    JamiiForums Tanzania jiko la gas linauzwa

    najaribu kutafuta picha cause ni jipya halijafunguliwa kabisa.nikipata picha ntaweka.
  5. M

    JamiiForums Tanzania camera inauzwa

    ilishafunguliwa ikatumiwa kidogo,bado ipo katika condition nzuri.
  6. M

    JamiiForums Tanzania camera inauzwa

    digital camera aina ya canon,2 gb,color ni pink, inauzwa kwa laki tatu na nusu T shillings. mawasiliano piga 0659 158365
  7. M

    JamiiForums Tanzania mipingo inauzwa

    miti ya mipingo maarufu kwa kutengenezea vinyago na furniture mbalimbali inapatikana hapa.bei ni makubaliano.piga 0659631651 au email dll_kaale@yahoo.com
  8. M

    JamiiForums Tanzania jiko la gas linauzwa

    jiko la gas lenye plate mbili na system ya kutolea hewa nje ni set,linauzwa.kwa watu ambao wapo interested piga 0659 158365, au email abapamas@gmail.com bei ni laki 5 T shilings.
  9. M

    JamiiForums Tanzania mipingo inauzwa

    miti ya mipingo maarufu kwa kutengenezea bidhaa za vinyago na furniture mbalimbali inapatikana hapa,bei ni makubaliano. piga namba 0659 631651 au email kwa dll_kaale@yahoo.com
Back
Top Bottom