Ahsante mkuu
Nimekuelewa vizuri kabisa lakini mimi siogopi chochote kama kuniroga au kuniua wafanye hivyo kwani wao wataishi milele ?
Namwogopa Mungu pekee
Mkuu ulichoandika ni tofauti na ulichoandika
Sijasema popote nataka urithi bali nipo kijijini kwenye mji wa baba yangu
Hata mimi mambo yakiwa sawa nitaanzisha mji wangu
Mimi hawanipi shida ila sasa wameenda mbali kutishia kumfukuza mama kwenye ukoo kama nikiamua kuishi na mwanamke kwenye hii nyumba
Utafikiri walishiriki kubeba tofali wakati wa ujenzi
Upuuzi mtupu
Hawatki niishi na mwanamke hapa
Kwahiyo najipanga nijenge kanyumba kadigo pembeni sababu washaanza kumtishia mama yangu huko Dar kumfukuza kwenye ukoo akiacha niishi na demu hapa........
Ndio nachotaka kufanya.
Tatizo sio familia yetu(kaka, mama wala dada zangu).
Tatuzo ni wanandugu wa kijijini(mashangazi,na wdugu wengine upande wa baba)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.