Recent content by mikila miwili

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wana-Masasi/Wamakua ndiyo kabila lenye watu ma-genius zaidi hapa Tanzania

    Vipi kuhusu Guebuza and Chissano?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wana-Masasi/Wamakua ndiyo kabila lenye watu ma-genius zaidi hapa Tanzania

    Ni kweli, kwanza ni mazingira ya udongo wa kule(mchanga), pia nyumba za nyasi karibu kila KIJIJI tz zipo tu. Ongelea mjini siyo kijijini.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wana-Masasi/Wamakua ndiyo kabila lenye watu ma-genius zaidi hapa Tanzania

    Tunaangalia WINGI kaka.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wana-Masasi/Wamakua ndiyo kabila lenye watu ma-genius zaidi hapa Tanzania

    Sipo Masasi for now ila nimetoka huko recently
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wana-Masasi/Wamakua ndiyo kabila lenye watu ma-genius zaidi hapa Tanzania

    "makabila maskini kabisa Tanzania.: [emoji115] Hahahah unachekesha sana ujue Anyway wote ni waTZ[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wana-Masasi/Wamakua ndiyo kabila lenye watu ma-genius zaidi hapa Tanzania

    Wayahudi wana umasikini wao na utajiri wao, no one is perfect okay folk?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wana-Masasi/Wamakua ndiyo kabila lenye watu ma-genius zaidi hapa Tanzania

    Nani kakudanganya Wamakua masikini? Ma sponsor wa wasanii wenu wengi wao ni sisi. Ni kabila miongoni mwa makabila madogo yaliyotawala makabila yote tz
  8. M

    JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Kwa hiyo Google ndiyo imempa cheo hicho? Sijauliza kwa ubishi. Ukisema hivyo hata mzee wa Upako na Mwamposa nao wanaweza kujiita successors of Peter? Why Pope???
  9. M

    JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Nani amempa u successor wa Peter? Kwa ushahidi upi? Wapi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dalili kuwa hutopata uongozi kwa kura/kuteuliwa hapo kazini kwako

    Wengi hawawezi ku balance mazoea.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dalili kuwa hutopata uongozi kwa kura/kuteuliwa hapo kazini kwako

    Labda kama una idea hiyo. Ila kwa duniani utasubiri.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dalili kuwa hutopata uongozi kwa kura/kuteuliwa hapo kazini kwako

    Jamani za hali. Kama kichwa cha uzi kisemavyo, kwenye vikao ukiinuka tu wewe kuchangia wote wanacheka(siyo kufurahia ni kukucheka), na ukishaongea wanakushangilia kwa kucheka. Ndugu yangu ukifika hatua hiyo jitathmini mno. Yaweza kuwa unazoeana na watu hovyo hovyo(kiswahili) na una uswahili...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wana-Masasi/Wamakua ndiyo kabila lenye watu ma-genius zaidi hapa Tanzania

    Mkuu Wahaya n.k wengi kuwa diaspora si kipimo cha u geneus hasa kwenye masuala nyeti ya ndani. Suala kubwa ni nauli tu yeyote anaweza kwenda. Wamakua wengi wapo sekta nyeti katika nchi hii(perception based on reality). Refer designer wa mchoro wa soko la K/Koo, Wakurugenzi ssit n.k Kwa elimu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wana-Masasi/Wamakua ndiyo kabila lenye watu ma-genius zaidi hapa Tanzania

    Acha ubishi basi, sema wewe ni Rais yupi
Back
Top Bottom