Recent content by MIKIDAD

  1. M

    JamiiForums Njaa kweli kwere

    Baada ya kubanwa na nenge kali jamaa akaingia mgahawani akamwita mhudumu, Mhudumu: Nikusaidie nini kaka? Jamaa: Nletee chipsi kaki na mishkavu miwili, usisahau na panta fashen tafadhali. Mhudum: du hili sasa balaa, chips kaki na mishkavu!
Back
Top Bottom