Recent content by mikelysa

  1. M

    TAHLISO: Continuing students hawataathirika na vigezo vipya vya utoaji mikopo elimu ya juu

    Vipi kuhusu aliyeahirisha mwaka wa masomo 2015/2016 kwa kutokuwa na mkopo?? Na mwaka huu kaomba, je kuna uwezekano wa yeye kupata mkopo??
  2. M

    Naomba kujua taratibu za kusitisha masomo kwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kikuu

    Andika barua kupitia principal, dean na head of department, hakikisha unajibiwa na unabaki na copy yako ya barua uliyoandika
  3. M

    Aliyeahirisha masomo akiwa hana mkopo, anaweza kuomba mkopo akapata?

    Napenda kujua hili, kwa aliyeaahirisha chuo mwaka 2015, na alikuwa hana mkopo, lakini mwaka huu kaomba, je kuna uwezekano wa huyo mtu kupata mkopo bila usumbufu??
Back
Top Bottom