Unaongea uongo mtupu ili tu uonekane mjuaji kupiga 95 au 85 ndo nini yaan topic about standardization wew unaongea kubusu kupiga 95 au 85 kwanza mpka hapo tu Ku reflect mada unashindwa utaweza kupata 95
Hill halowezi kutokea kutokana na idadi ya wasomi kuongezeka tofauti na zama hizo na hapa tuangalie zaidi kubusu Ku improve mfumo uliopo sasa kwa kusogea mbele na siyo kurudi nyuma mfano mfumo wa ajira wa online recruitment portal ulikuja kuondoa vitu vingi katika beginning stage ya waombaji...
Topic is not about jobless topic is about to remove the weakness and to make improvement sasa izo za jobless ayo ni majivuno tu arafu humjui exactly nani unayejivunia kwake so be normal and stay low key focus direct to the topic
Msidanganyane na makaratasi au PDF zilizotolewa miongozo mm naongelea changes according to the weakness of the system wew upo static unashikiria muongozo muongozo ebu elewa nilicho uliza
Unavyosema kanuni Leo hii wasingebadili kwa tutorial kutoka GPA ya 3.5 and above mpaka kutoa uamuzi wa aliye na degree anaruhusiwa kuomba. Mm hapa naongelea equality na siyo ubinafsi elewa
Safi sana ngoja nikupe facts siku zote tambuwa kwamba siyo kila protocol ni sahihi ndo maana nimekuja hapa kiwafunguwa ubongo au maarifa kwanza kigezo cha ufaulu kwa wingi hiko siyo kigezo sawa arafu mm nimesema kwamba inatakiwa waweke standard marks katika interview ili iweze kuleta usawa...
Mzee amini usiamini oral huwa haingopi endapo kukiwa na usimamizi usahihi kazi yao no kuchuja watahiniwa weka standard marks let's say 50% hata kama ni woote Waite hata kwa awamu kuliko eti nafasi 1 unaanzakuchukwa waliopata 80% unachukuwa watu 4 hahaha wengi mnaaamini uwezo ila interview haipo...
Mm nimeongea kwa kuangaria matokeo yanavyotoka hizo cuoff points unazozingumzia uhawai ona zinafuatwa kwa usahihi? Na je ufaulu wa watu ndo una determine cut off point? Kuna vitu tukiwa tunachangia mada tusiwe wabinafsi wwngi wenu mnaongelea ubinafsi tqngu lini utumishi waka angalia cutt off...
Mm nimeongea kwa kuangaria matokeo yanavyotoka hizo cuoff points unazozingumzia uhawai ona zinafuatwa kwa usahihi? Na je ufaulu wa watu ndo una determine cut off point? Kuna vitu tukiwa tunachangia mada tusiwe wabinafsi wwngi wenu mnaongelea ubinafsi tqngu lini utumishi waka angalia cutt off...
Kwa majina naitwa Mikel lesta kiukweli utumishi katika upande wa ajira wapo hovyo sana nafikiri wanaofanya kazi hapo wanajisahau sanaa, nitatoa mifano mitatu na nitashauri kitu na sitoishia huku nitawafata katika page zao za kijamii pia ila kiukweli wanatuumiza sana sisi watu wa chini.
OK ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.