Recent content by MIKAEL MTANZANIA

  1. MIKAEL MTANZANIA

    SoC04 Tunaweza kuzuia majanga mbalimbali na kama sio kuyamaliza kabisa haswa kwa kutumia teknolojia

    kwa mkono wa: Mikael Mtanzania. Yeyote asiyekubali kubadilika basi mabadiliko yatamuacha nyuma. Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi hasa yanapotokea majanga au unapotokea moto umewaka sehemu mfano majumbani mwawatu au kwenye majengo kumbi na sherehe malalamiko yanayo tokea ni kuwa zima moto...
  2. MIKAEL MTANZANIA

    SoC04 Tuachane na matumizi ya vocha, tulipie intanert kama ambavyo tunalipia bili nyingine mwisho wa mwezi

    Kwa mkono wa Mikael Mtanzania Tanzania ni moja ya nchi yenye gharama ndogo sana ya vifurushi vya internet kwani Gb 1 ambayo ni MB 1000 ya internet unaipata kwa elfu tatu ukweli ni jambo zuri na tunaweza kujipongeza kwa upungufu wa gharama hii. lakini ukweli ni kwamba bado tunayoshida ya...
  3. MIKAEL MTANZANIA

    SoC04 Bima ya Afya kudumu inahitajika kwa watu wenye magonjwa sugu

    Kuna magonjwa mengi sugu ambayo kwa kweli yamekuwa tishio lakini binafsi nimeona ni vyema kugusia kwanza upande wa figo, hasa upatikanaji wa matibabu yake na huduma zake. Iko wazi kuwa mpaka sasa hapa Tanzania, asilimia takribani 7% ya watanzania wanasumbuliwa na tatizo la figo na wengi wao...
Back
Top Bottom