Recent content by Mika

  1. M

    Mayai ya kuku yanayoingizwa kutoka kenya bila kulipiwa kodi

    Uzalishaji mdogomdogo unao toa ajira nyingi lazima ulindwe! bila hivyo tutaanza kuagiza hata michicha kutoka nje
  2. M

    Mayai ya kuku yanayoingizwa kutoka kenya bila kulipiwa kodi

    Wadau, Wafugaji wadogo wa kuku wa mayai wana hali ngumu sana kwani kuna mayai yanaingizwa kutoka kenya na kuuzwa kwa bei ya chini sana tene bila ya kulipiwa ushuru stahiki. Wizara husika iingilie kati kuwa nusuru wafugaji wetu wadogo.
Back
Top Bottom