Recent content by Mika Baroni

  1. Mika Baroni

    JamiiForums Tanzania Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    Na hiyo es file explorer
  2. Mika Baroni

    JamiiForums Tanzania Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    Pengine unielekeze hiyo pes nidownload wap na ile zip file yake. ((natumia tecno C5))
  3. Mika Baroni

    JamiiForums Tanzania Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    Nimefuata maelekezo yote lakini imegoma
  4. Mika Baroni

    JamiiForums Tanzania Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    Nimefuata maelekezo yote lakini imegoma
  5. Mika Baroni

    JamiiForums Tanzania Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    Mkuu wewe unapatikana maeneo gani?
  6. Mika Baroni

    JamiiForums Tanzania Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    Yaani ilitakiwa nipate kama video inayoelekeza ndipo nitafaulu
  7. Mika Baroni

    JamiiForums Tanzania Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    Mkuu hili game nimeona kuna hatua inabidi uzifuate kabla hujali install!!lazima upitie kwenye es file exproler ukacop,upaste na vinginevyo
  8. Mika Baroni

    JamiiForums Tanzania Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    Kwahiyo ikimaliza kudownload kwenye utorrent!!naweza kulifungua huko huko kwenye utorrent au kuna sehemu nyingine ya kuli open?
  9. Mika Baroni

    JamiiForums Tanzania Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    Mkuu naomba unisaidie hilo game la pes 2012..nikifungua ile linki mliyotuma inaleta hivi
  10. Mika Baroni

    JamiiForums Tanzania Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    Mkuu mi naomba unielekeke kwa kupitia whatsapp,,namba yangu ni 0756227811. Tafadhali Chief
  11. Mika Baroni

    JamiiForums Tanzania Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    Nimedownload mwishoni limeandikwa apk
  12. Mika Baroni

    JamiiForums Tanzania Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    Unadownload wapi wakuu!!naomba link
  13. Mika Baroni

    JamiiForums Tanzania Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    Mi nimedowload kutoka bittorrent lakini hai play
Back
Top Bottom