Recent content by Mido Finga

  1. Mido Finga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Golden si anaongoza,au uliweka Over/Under
  2. Mido Finga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Toronto kasepa na kijiji ila kwenye ICE hockey, Mwanga upo
  3. Mido Finga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naombeni odds 5 za uhakika...Nataka nijilipue 60k Nina shida ya laki 3.
  4. Mido Finga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba kukosolewa kabla sijatia mzigo huo!
  5. Mido Finga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yeah mkuu hizi mechi za kimataifa zinazingua kinoma...ila kwa kona under 12.5 zinatoa kinoma hasa hizi friend match maana uwa hawakamiani sana.
  6. Mido Finga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uwe una withdraw Asubuhi au Mchana Mkuu,usiku uwa wanazingua
  7. Mido Finga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Zile za jana nikawatoa wale wa saudia arabia nikajiongeza na Shaktar nikatoa kitu cha hatari...BET WON
  8. Mido Finga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nipe odds 4 nitembee na wewe.
  9. Mido Finga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ilo ndo tatizo lao,sasa sijui uwa wanalala. Jaribu kuwacheki.
  10. Mido Finga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapo ndo wanapofeli,jaribu kuwacheki kwenye namba yao ya whatsapp watakusaidia.
  11. Mido Finga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi nimewithdraw saa 3 asubuhi imeingia mida ya saa 8 mchana hivi. Kwa premier ni vizuri kuwithdraw kuanzia saa 2 asubuhi maana ukiwithdraw usiku sana uwa wanazingua kuingiza Hela sijui tatizo ni nini. Pia angalia kama umewithdraw fresh tigopesa/Mpesa sometimes kuna kujichanganya na...
  12. Mido Finga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kweli mkuu inakua haina maana.
Back
Top Bottom