UTAFITI inajitosheleza kwa maana ya watu watakaofanya data collection kwa jina lingine (research assistants) namba niache mengine kwenye mabano ili wenye sifa watume maombi tutafanyia kazi
MT EAST AFRICA Ltd tunatafuta graduates/ Form 6 leavers kwa ajili ya kufanya utafiti Tanzania. Tuma maombi pamoja na wasifu wako (CV) kwenye email midastea@gmail.com cc hearingtz@hotmail.com. Malipo Tsh20,000 kwa siku, posho (nauli na kujikimu).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.