Recent content by microscopic man

  1. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kuhusu Ajira za Walimu

    Aaàaaaàah.....sasa mwezi wanne ndio wanatoa majina au. mm jana nilipata habari ya kuchekesha kwa gvment yetu. Eti wameshaa fanya kila kitu hadi allocation ila wanasubiria pesa. Sasa najiuliza hiyo bajeti ni ya mwaka jana au ya mwaka huu. Pesa ilishaaa tengwa nini shida tena. Ma chichiemu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

    WADAU,,,, we need to do smthn ,, kusea kweli mm mwenyewe nimeshaa choshwa na kero hii coz its better likatoka tamko ,ili tujue then tuamue kusubiri au kafanya mengine. au tuungane twende kwa mheshimiwa, tujue hatma yetu. sababu wanatupotezea muda bwana, mtu unaacha kufanya kazi zingine...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

    Tulitegemea mzigo utatoka kuanzia jana ila bado hadi leo march 16/ mambo sio. Na hakuna maelezo. issue za kusema ajira hadi mwezi wa tano..au july hilo halipo coz we ar waiting for an official announcemnt from the government. seee yaaa then. Ula hadi tarehe 20 mrch kitataeleweka.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

    Wadau kiukweli bongo kila kitu magumashi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata account ya bank kwa walimu tarajali 2015-2016

    Wanatoa halmashauri au unafungua mwenyewe?
Back
Top Bottom