Recent content by Micl

  1. M

    Swali la uelewa

    1. Nikiumbe gani Mungu kakiumba kakipa akili na matamanio? 2. Nikiumbe gani Mungu kakiumba kakipa akili hana matamanio? 3. Ni kiumbe gani Mungu kakiumba kakipa matamanio kakinyima akili? Nisaidie kujibu hili swali
Back
Top Bottom