Recent content by micky massawe

  1. micky massawe

    Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Sh ngapi hyo ya mwanzo umeandika??? Teh teh
  2. micky massawe

    Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Michaelmassawe80@gmail.com nakuomba unishirikishe mkuu
  3. micky massawe

    Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Na Leo inapita tena walivo washenzi
  4. micky massawe

    Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Mimi wala siamini chochote nasubiri tu hiyo cku zikishatangazwa Ndo ntaamini....
  5. micky massawe

    Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Nahisi mambo Ndo Yaleyale....danadana kwa wingi tenaa.......
  6. micky massawe

    Ajira za walimu 36,000 kumwagwa mwaka huu

    Duuhhh sasa tumwamini nani sasa jamani/???
  7. micky massawe

    Ajira za walimu 36,000 kumwagwa mwaka huu

    Majina ya vituo vya kazi yanategemewa kuitoka katikati ya mwezi huu na kuripoti April mos...source gazeti nipashe la Leo ukurasa wa 8 pia taarifa ya naibu waziri Tawala za mikoa na serikali za mitaa Elimu Kasimu Majaliwa akizungumza katika kipindi cha kumepambazuka Jana cha redio one...Hebu...
  8. micky massawe

    Kumbe naibu waziri mhagama alikua sahihi kabisa

    Bt hata kama ni cku ya wajinga kama ni cku ya kazi co wkeend tutaingia kazini tu kama kawaida...kumbuka cku ya wajinga haitambuliki kiserikali..
  9. micky massawe

    Kumbe naibu waziri mhagama alikua sahihi kabisa

    Ndugu zangu walimu wa Subira wenzangu taarifa ya naibu waziri Jenista kama ilikua ya ukwel japo wengi tuliipinga ..kwa Mujibu wa gazeti la Leo la Uhuru ni kwamba serikali ishakamilisha kila kitu na majina na vituo vya kazi vitatangazwa mwezi ujao.ila kuripoti ni kuanzia tarh 1 April. Hebu...
  10. micky massawe

    Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

    Daaahhh tarh 26 Ndo inaisha hvyoo
  11. micky massawe

    Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

    Daahh inafedhehesha saaaaaana
  12. micky massawe

    Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

    Namngoja mheshimiwa alietaarifu walimu wapya kuajiriwa February 26...ikipita hapo ctokaa nisikilize tena tetesi nitangoja mpaka pale yatakapotimia kwel...maana tetesi zilikuepo tokea September mwaka Jana.......
  13. micky massawe

    Hii hatari sasa

    Ndo hapo sasa sema wazazi wangu wanaelewa...sema wapembe mtaani Ndo wanachonga...mbaya zaidi nimesoma Chuo cha private hapa dar cha ada kubwa saaana ambayo hyo kaz mshahara wake kuirudisha co leo
Back
Top Bottom