Recent content by micky lee

  1. M

    Msaada kuhusu Award Verification Number (AVN) pamoja na transcript results

    Mimi nimefanya kwa simu Kila kitu Gharama ni elfu ishirini
  2. M

    KERO Msaada: Nahitaji kuendelea kusoma shahada lakini siwezi kuendelea bila kupata AVN kutoka NACTEVET

    Kwanza AVN gharama ni elfu ishirini ndio maana wanakutumia nyingine Ww umesema umelipa elfu kumi na tano wakati gharama ni elfu ishirini
  3. M

    KERO Msaada: Nahitaji kuendelea kusoma shahada lakini siwezi kuendelea bila kupata AVN kutoka NACTEVET

    Hakikisha unalipia hiyo control namba uliopewa ukiwa bado upo hewani kwenye system Kwa sababu ukilipia tuu system inajiupdate na unatumiwa AVN unaidownload, hakikisha unakua na hela kwenye simu ili ulipie papo kwa papo
Back
Top Bottom