Hello Mphamvu!
Tunapenda kukutaarifu kuwa sasa unaweza kuipata application ya Soka kutoka google playstore. Unaweza ukatafuta kwa jina la "soka", au bonyeza link hapa chini!
Samahani kwa usumbufu wowote ulioupata, na tafadhali kuwa huru kutuambia chochote kuhusu application hii...
Pole kwa usumbufu uliopata! Tunafanyia kazi mabadiliko kidogo kwenye akaunti yetu ya google playstore! Soon utaweza kuipata na tutakuarifu ikiwa tayari!... Asante sana na pole sana kwa usumbufu Mphamvu.
Pata matokeo, msimamo na taarifa zote kuhusu ligi na timu za ligi kuu bara (Vodacom Premier League) hapa http://play.google.com/store/apps/details?id=com.soka.soka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.