Recent content by michele gidion

  1. michele gidion

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Mnatuangusha makamanda wekeni picha au Simu zenu za tochi
  2. michele gidion

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Mkoa Arusha na Katibu Mwenezi wa Mkoa Wajiuzulu na kuhamia CHADEMA

    Jf wakiona habari za kushtua kuhusu ccm wanachomoa chapu
  3. michele gidion

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa kurejea ofisini CHADEMA

    Siasa sio dini itakuingia tu akilini@deo
  4. michele gidion

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

    Nikiwa kama mdau Wa siasa nimefedheheshwa na kiburi cha Dr slaa kupingana na viongozi wenzake wanao unda ukawa.kimsingi naona kama Dr slaa alishakua na ndoto kubwa na uhakika kama ndie rais ajae Wa Tanzania. Sijaona ubaya wowote kwa vyama hivi kuungana ila kinyume na nilivotarajia kama ingetokea...
  5. michele gidion

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

    Hakuna kitu kibaya kama kuishi kwa mashaka,najiskia vibaya navosoma commet kuhusu Dr slaa karibu wiki nzima sasa,unaweza ukatumia akili ndogo tu kuwaza kwamba baraza kuu la chadema linafanya kikao chake muhimu kabisa lkn mtendani muhimu kama Katibu mkuu hayupo unambiwa kaenda likizo? Siku zote...
  6. michele gidion

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Dr Slaa wawachanganya UKAWA, waitisha kikao cha Dharura Buguruni kuokoa jahazi

    Ccm hawana cha kuongea zaidi ya Dr slaa! Akijitokeza sijui watakuja na story gani
  7. michele gidion

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Angalizo kwa wadau Wa siasa, kukidhiri kwa rushwa kwa baadhi ya wabunge na mawaziri Wa ccm bunge la 10 dalili zinaonyesha idadi kubwa ya makada mahiri Wa ccm hawataridi bungeni..adhari kubwa katika chama na chaguzi za wagombea ni kutokea kuuzana kama ilivotokea kwa filex mrema mbunge Wa ccm...
  8. michele gidion

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mwaka huu kuna wabunge watapita bila kupingwa?

    Nirejee kwenye tuhuma za kwanza kwa Zitto kuwa alichakachua majina kwa baadhi ya majimbo ya uchaguzi na kupelekea wabunge kadhaa kupita bila kupingwa likiwamo jumbo la waziri mkuu Mizengo Pinda. Kwa mtazamo Wa Magufuli na nguvu na ujanja Wa Lowassa je mwaka huu kitawezekanika?
  9. michele gidion

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Arusha tokea juma 3 tumepata siku 1 tu
Back
Top Bottom