Na huo ni mwanzo tu,,,, nimekua nikijiuliza hivi ni kwa nini kijiji changu NKUNGI pamoja na vijiji jirani kama ilunda, singa, mng'anda, mwando, iambi, nkalakala, malaja, msiu, mwanga, kinampundu n.k tumekua tukidanganywa kwa kwa hali ya juu kiasi hiki jaman,, yani tumefanywa mateka wa fikra...