Sijasema mm special mkuu? Nmeomba msaada tu kama msakatonge mwenzenu. Interview nying nmepiga chin coz ya idadi ya watu so hii imenikuta nipo Arusha ndo maana nikaona siyo mbaya nikapate uzoefu. Naomba unisamehe mkuu kama ntakuwa nimeweka post mahal ambapo c sahihi.
Habari za muda huu wanajamvi? Nimebahatika kuitwa kwenye usahili wa nafasi tajwa hapo juu, lakn changamoto n kuwa hii n mara yangu ya kwanza kwenda kufanya interview za utumishi, naomba mwenye uzoefu, maswali ya, examination officer yanavyo kuwa anisaidie tafadhali sambamba na uzoefu wa namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.