Nakushauri baki DUCE ila soma bachelor of science with education (Physics and Chemistry). Hiyo bachelor of science in physics and chemistry ina changamoto mbili ambazo ni 1. Ugumu wa kuajiriwa na kujiajiri 2. Ugumu wa kupata GPA nzuri kwa uzoefu wa waliosoma hiyo programme pale UDSM.
Ni kweli wenye 1.9 kwa vyuo vya serikali hakuna aliyechukuliwa. Cutoff points zimekuwa juu sana.
Nina mfano hai wa binti wa family friend aliomba nursing UDOM na Muhimbili kote akatemwa na 1.9 yake kwenye PCB (CCC). Awamu ya pili akaomba Laboratory technology Must ametemwa ila amechaguliwa DUCE...
Inaonekana alijaza kwamba alisoma kwa kufadhiliwa kidato cha sita au diploma. Kwa hiyo unatakiwa mhuri ugongwe kwenye fomu ya kuthibitisha huo ufadhili ambao aliupata.
Pia
Pia naamini hata Jamii Forums wanatoa ajira za watu wa kozi hiyo. Soma hiyo dogo itakutoa kwa haraka kuliko hata computer engineering ambayo kozi zake wapo wengi sana na baadhi kozi zake zinapatikana pia kwenye programmes zingine kama computer science, cyber security, electrical and...
Unaenda kuwa mhandisi wa mitambo ya vyombo vya utangazaji kama redio, television, n.k. Pia utakuwa msimamizi wa kuhariri maudhui ya mtandaoni au kidigitali. Hivyo wewe utatumika na vyombo vya habari vya redio na television, Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, na makampuni ya simu.
NAKUMBUKA ENZI NASIKILIZA MPIRA KUPITIA REDIO TANZANIA DAR ES SALAAM (RTD) WATANGAZAJI KINA AHMED WALIKUWA WANAWATAJA MAFUNDI MITAMBO CRISPIN LUGONGO, JUMA KENGELE, N.K.
Msichana kachaguliwa DIT-Bachelor in Computer Engineering na MUST-Bachelor of Technical Education in Civil Engineering. Je mnamshauri athibitishe kujiunga na chuo kipi kati ya hivyo?
Ishu siyo yeye kushindwa mathematics bali ishu ni vigezo vya muongozo wa TCU havimruhusu yeye kusoma engineering.
Anyway ajaribu DMI au ATC kwa kozi ya mechatronics engineering au mechanical engineering.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.