Recent content by Michael Dotto Emmanuel

  1. M

    Natafuta kazi

    Naitwa Michael, natafuta gari ya hesabu iwe bolt au uber au hata kumuendesha mtu binafsi. Leseni ninayo Class C, napatikana Dar es Salaam.
  2. M

    Natafuta kazi

    Habari naitwa Michael, natafuta kazi ya udereva. Kama kuna mtu anatafuta dereva wa kumuendesha au kuendesha gari ya biashara yaani taxi kama Uber au Bolt, nipo na leseni ya class C au kampuni. Nipo Dar es Salaam. 0677877769
Back
Top Bottom