Recent content by MICHAEL BENJAMIN

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nisome ipi kati ya Bachelor of Accounting with IT na Bachelor in IT?

    Nataka kujua ipi kati ya hizo ni nzuri na vipi kwenye soko lake la ajira
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nisome ipi kati ya Bachelor of Accounting with IT na Bachelor in IT?

    Coz nataka kujua ipi nzuri kati ya hizo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nisome ipi kati ya Bachelor of Accounting with IT na Bachelor in IT?

    Jamani naomba msaada kati ya bachelor of accounting with IT na bachelor in IT
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili?

    Hivi ni tofauti gani kati ya bachelor of accounting with IT na bachelor in IT na ipi ni bora hapo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili?

    Sasa hapo ww ipi ni nzuri zaidi bachelor of science in IT or bachelor of IT
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili?

    Hivi Kuna tofauti kati bachelor of science in IT na bachelor in IT na ipi ni nzuri kati ya hizi mbili
  7. M

    JamiiForums Tanzania Degree

    Kama umesoma PCB hivi ukichukua bachelor of commerce in accounting ambayo ipo udsm pia o level alipata C ya math na Advance alipata B ya Bam hii course ni nzuri kwake
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Course ya kusoma chuo

    Jamani Kuna mdogo wangu kapata degree ya Medical Doctor Kairuki na pia diploma in radiology Muhumbili. Anauliza yeye kama yeye achague wapi coz anahisi sasa MD haina deal tena kwa siku hizi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Course za chuo

    Kinatolewa chuo cha udom
  10. M

    JamiiForums Tanzania Course za chuo

    Ipi ni course bora kati ya information system na information technology ili niweze kuconfirm course ndio nataka kuanza chuo mwaka wa kwanza
Back
Top Bottom