Recent content by Mia El-Shamte

  1. Mia El-Shamte

    Wale wa MUHAS tujuane hapa

    MD. from Zanzbar.
  2. Mia El-Shamte

    muhas MUHAS.

    peter kyombya doctor of medicine.
  3. Mia El-Shamte

    muhas MUHAS.

    Wale wa muhas. matokeo ya wliopata degree, diploma na advanced diploma tayari kwenye mtandao.http://www.muchs.ac.tz/Advertisements/Admissions/Candidates_Selected_Undergraduate2013_2014.pdf
  4. Mia El-Shamte

    Kwa wale waliokuepo MUHAS msaada

    naomba kuuliza, admission letter zinapatikana vipi?
  5. Mia El-Shamte

    Diploma in nursing Zanzibar

    kwa ufupi ni kwamba, afya imejaa ajira.
  6. Mia El-Shamte

    Diploma in nursing Zanzibar

    wale wa general nursing ndo hawakosi ajira kabsaa maana kwa kila clinical officer mmoja wanahitajika nurse10 na nurses wengi wanapangiwa pale hosptali kuu mnazmmoja ila clinical officers wengi wanapelekwa dispensari ndogondogo za wilaya kulingana na sehemu wanazoishi.
  7. Mia El-Shamte

    Diploma in nursing Zanzibar

    kwa wale wanaojilipia ada yote wakimaliza wanaweza kutafuta ajira wenyewe ila wale wanaolipiwa 50% ya tuition fee na wizara ya afya zanzbar wakimalza lazima waitumikie serikali kw miaka miwili ktk hosptal zake halaf ndo mkataba ukimaliza wanaweza kutafuta ajira popote au kwenda kuongezea elimu...
Back
Top Bottom