Kwa GPA hiyo, njia pekee ya kuongeza elimu ni kupitia utumishi wa umma, aombe kazi utumishi , Kwa diploma hawazingatii gpa , afanye kazi 3+ years ndio akasome, hapo chuo atakubalika Kwa sababu experience ya utumishi itambeba. chuo hawatokua na pingamizi Kwa vile ni mtumishi akimaliza anarudi...
Jifunze programming na hasa python. Hii ni programming language inayokua Kwa Kasi zaidi, jifunze basic Kisha specify maana python ni kubwa. Unaweza kuspecify kwenye AI, machine learning, data science, Computer vision, Robotics. Python inakufungulia milango ya career nyingi zinazolipa.
Au...
Salum mnuna ni Mmoja ya wasimamizi wa mradi wa east Africa crude oil project (ecop), ni mtu mwenye usoefu na masuala ya mafuta, ameshafanya kazi katika wizara ya nishati, pia katika taasisi pbpa inayoshughulikia na uagizaji wa mafuta Kwa Tanzania. Ana uzoefu na hizo kazi Kwa iyo tutegemee neema...
Hii ndio akili ya wapuuzi, wanaoingia hasara ni wananchi wa chini na sio hio serikali, hao viongozi hawana hasara wanayoingia Bali ni sis ambayo lazima tutoke tutafue mkate. Huu ujinga tunaumizana sisis Kwa sisi. Hebu niulize Kuna mbunge, Waziri au raisi Leo Tanzania Ambae amekosa mahitaji yake...
Aliechochea huu ujinga wa maandamano ni ccm? Shughuli zimesimama kutokana na wafanyabiashara wanahofu ya kuingia hasara kutokana na wizi wa hao vijana wanaojiita wanaandamana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.