Siasa ni ngumu sana kwa vijana tunaokua
Kwanini aseme kustafisha wakati wajumbe wa chama ndio wanaoamua kumuondoa ama kumrudisha tena bungeni?
kwanini Kiswaga asitie Nia na kufanya ushawishi wake umuondoe Lukuvi na sio kushinikiza wananchi!?
Labda kama anabadili jukwaa lake la siasa 😄
Wanajukwaa wenzangu!
Lugha ya picha imekuwa kivutio sana kwa wasomaji wa magazeti na hata mitandao ya kijamii!!
Lakini je licha ya mvuto huo watu wanaelewa maana za lugha hizo hasa za mtaalamu Kipanya?
Na wewe mwanajukwaa unaelewa nini juu ya katuni hizi ambatanishwa?
Nadhani tatizo lipo kwa raia wenyewe ambao tunaongozwa!
Tumekuwa watu wenye njaa kiasi kwamba tunahitaji mtu Mwenye pesa atutoe kwenye njaa hasa kipindi cha upatikanaji wa viongozi!!
Haya ni makosa ya wananchi na ndio maana viongozi na watia nią wanatumia hiyo myanya kutudharau! Na pengine ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.