Recent content by mho95

  1. mho95

    JamiiForums Tanzania Natumia approximately laki 3 kwenda kwenye interview ya kazi ambayo ni Mungu tu ndo anajua kama ntaipata

    Kama mtu anatafuta kweli ajira kwa nia...basi hatakiwi kuwaza kuhusu hiz habari za connection! Watu wanapata kazi bila kutumia connection yyte...Omba Mungu, weka juhudi utafanikiwa..
  2. mho95

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Yea ninafahamiana nao
  3. mho95

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Yah ukifail oral pia kwenye app inasoma NOT SELECTED FOR NULL ninazo za kutosha[emoji23]
  4. mho95

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mimi sikufanya written wakuu...ila status kwenye app ilichange kutoka SHORTLISTED kwenda SELECTED FOR NULL Lakin kwenye web ilibak SHORTLISTED tu! Na wenzangu tulofanya oral kama watatu kwenye app waliekewa NOT SELECTED FOR NULL.
  5. mho95

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wakati wa Mungu ni wakati sahihi...wakat wako utafika na hutaamin!..muhim ni dua kila kitu kinawezekana!!
  6. mho95

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Non teaching
  7. mho95

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Oral tulifanya watu tisa nafasi moja...kabla ilkua Shortlisted..Niliwacheck watu 3 ambao nlifanya nao wao baada ya kuchange kua SELECTED...wao waliekewa NOT SELECTED
  8. mho95

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Shukran ndugu[emoji120]
  9. mho95

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mimi nilfanya oral tu...baada ya mda kwenye app ikaandka selected for null na Web ikabaki shortlisted...Imetoka pdf nimo!
Back
Top Bottom