Recent content by mhina ntwina aya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ombi la mapokezi mimi nikiwa kama mgeni kwenu

    Kiukweli app hii kwa mara ya kwanza nili ifuta baada ya kuna haina faida katika simu yangu, lakini sikujua kumbe inafaida kiasi hiki kwa sasa nimeamua kujiunga lasmi kwa moyo wangu bila kushawishiwa na mtu, natumaini ombi langu lita kubaliwa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mfungwa kuwa huru

    Ina maanisha kuwa sio mfungwa gerezani la isipokuwa kuna baadhi ya watu wametekwa kiakili Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom