Recent content by Mhimili uliojichimbia

  1. M

    FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

    Hiyo ya magiant mlifika lini? Maana nyuma mwiko alifika ya shirikisho tena kwa kucheza na timu zinazoshuka daraja🤣🤣🤣
  2. M

    FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

    Simba ataanzia away kuna asilimia kubwa Fadlu mpango kazi utakuwa kama wa leo refer mechi ya leo na ile ya Al Ahl Tripoli
  3. M

    FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

    Hao wote wamepita ila wapo CAFCL(Champions league) na hii ya Simba ni CAFCC( Confederation cup)
  4. M

    FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

    Ile alianza away hivo alienda kutafuta draw tu, akiwa na mipango ya nyumbani. Nimefananisha na ile ni uchezaji
  5. M

    FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

    Fadlu mechi za knock out akiwa na mtaji wa goli hata kama ni chache uchezaji wake ni ule ule unatabirika anatafuta draw. Hii mechi ni copy and paste ya Al Ahl Tripoli
  6. M

    Hakuna haja ya kugombana na watangazaji wa mpira, badili kwa kiingereza utanishukuru

    Unachotaka kueleza nakuelewa vizuri, nafikiri kurahisisha unazungumzia analysis ya watangazaji wa nje kama ambavyo marehemu Kashasha kiasi alikuwa anaifanya kwenye matukio ya uwanjani
  7. M

    Hakuna haja ya kugombana na watangazaji wa mpira, badili kwa kiingereza utanishukuru

    Hii inchi watu sijui ni stress za maisha au uwelewa mdogo, hao uliowataja Simba na Yanga kukataa watangazaji wote ni wajinga, mtangazaji anaathiri vipi mpira unaochezwa? Wachezaji wala hawamsikii na hata benchi la ufundi sasa ana mchango gani kwenye final results kama sio ujinga ni nini? Mimi...
  8. M

    Tarehe 27.04.2025 Simba SC anafungwa na Stellenbosch FC, asipofungwa naomba nipigwe ban JF kwa muda watakaoupendekeza Mashabiki wa Simba SC

    Hivi hapo mwenyewe umesoma baada ya kuandika? Naona una mental issues, sasa ban unaomba Simba akifunga au akifungwa? Maana heading na kilichopo ndani haviendani.
  9. M

    FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

    Nafikiri shida ya Simba S.C siyo kupenya midblock au lowblock kwani huo uwezo wanao na hata leo wamepenya sana Shida ni kuwa baada ya kupenya accuracy golini inapotea kwa wamaliziaji.
Back
Top Bottom